Dewjiblog - dewjiblog.com - MO BLOG

Latest News:

Fearless female highliners perform jaw-dropping moves 3,300 feet above Yosemite National Park. 27 Aug 2013 | 03:25 pm

Being a thousand feet up the air, balancing on a thin wire does not stop these fearless females from performing ankle balances, squats and even the splits in front of the camera. Professional slackli...

Sikiliza kwa makini Miaka 50 ya “March On Washington”. Mahojiano na Profesa John Innis Mtembe. 27 Aug 2013 | 03:08 pm

Ni nusu karne sasa tangu kufanyika kwa maandamano makubwa sana ya kudai haki za watu weusi, yaliyofanyika August 28, 1963 katika jiji la Washington hapa nchini Marekani. Prof. John Innis Mtembezi  ak...

Wapiga Picha wa Zanzibar wapatiwa mafunzo ya Upigaji Picha. 27 Aug 2013 | 03:05 pm

Mkufunzi wa mafunzo ya kupiga picha yanayofanyika Jengo la ZBC, Karume House Mitsuhiro Hayao Matsuda kutoka Japan akitoa maelezo kwa washiriki   (hawapo pichani) kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo. Mkur...

Uhaba wa Maji Sengerema waathiri Masomo Shule ya Sekondari Sengerema. 27 Aug 2013 | 10:11 am

Mwandishi wa Habari Daniel Makaka wa redio Sengerema mkoani Mwanza akizungumza na Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Kilanga Maganya kuhusiana na tatizo la Uhaba wa Maji wilaya ya ...

Katibu wa CWT Sengerema apinga tuhuma za kuingilia majukumu ya DO. 27 Aug 2013 | 09:53 am

Katibu wa Chama cha Walimu Wilaya ya Sengerema (CWT) Bw. Joseph Mashinji akikanusha tuhuma zinazomkabili za kuingilia majukumu ya Ofisa Elimu Msingi Wilaya ya Sengerema. Na. Mo Blog, Sengerema. Ka.....

Rais Kikwete amwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu Dar leo. 27 Aug 2013 | 01:10 am

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Msajili wa V...

Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo akagua Maendeleo ya utandazaji Mabomba ya Gesi Mtwara-Dar. 27 Aug 2013 | 12:45 am

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa na Balozi wa China nchini, Lu Youqing walipokuwa wakikagua mitambo ya kisasa ya kuunganisha mabomba ya kusafirishia gesi, katika ka...

Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) imemvua Uanachama Mansoor Yussuf Himid wa Baraza la Wawakilishi Kiembesamaki. 27 Aug 2013 | 12:42 am

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyomalizika leo imejadili kwa kina Masuala mbalimbali likiwemo pendekezo la Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Magharibi – Zanzibar ...

Membe alonga na Warioba kuhusu Uraia wa nchi Mbili. 27 Aug 2013 | 12:31 am

Mhe. Waziri Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiingia rasmi katika Ofisi za Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo mjini Dar es Salaam.   Kulia ni Mhe. Balozi Rajabu...

Matukio ya picha mbali mbali wakati wa vikao vya CCM Dodoma leo. 27 Aug 2013 | 12:19 am

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, leo Agosti 26, 2013. Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana...

Recently parsed news:

Recent searches: