Ajira - ajira.go.tz

General Information:

Latest News:

TANGAZO LA USAILI WA ANA KWA ANA 15 Aug 2013 | 04:59 am

Tangazo la Usaili wa ana kwa ana kwa  kada ambazo Usaili wake utafanyika  katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni tarehe 15 na 16 Agosti, 2013. Mnajulishwa kwamba wasailiwa wa kada zi...

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO TAREHE 12 AGOSTI 2013 14 Aug 2013 | 04:55 am

MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA TAREHE 12 AGOSTI 2013 CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE, KIGAMBONI USAILI WA ANA KWA ANA UTAFANYIKA SAA MOJA KAMILI OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI W...

Matokeo ya Usaili wa Mchujo, Tarehe 26-July-2013 27 Jul 2013 | 12:18 am

Wasailiwa waliochagulia kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa kufika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba Kuu ya Taifa siku ya Jumamosi, tarehe 27-July 2013, SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI...

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alipotembelea Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma 18 Jul 2013 | 12:18 pm

WATUMISHI WA UMMA NCHINI WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI Watumishi wa Umma nchini wametakiwa kuwa wabunifu na kuzingatia maadili katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku ili utendaji wao uweze kuwa na ...

MAJINA YA WALIOKIDHI VIGEZO, TANGAZO LA KAZI LA TAREHE 26 MACHI, 2013 16 Jul 2013 | 10:53 pm

Waombaji waliokuwa wametuma maombi ya fursa za ajira kwa ajili ya tangazo la kazi lililokuwa limetolewa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri mbalimbali nchini mnamo ta...

Uhaba wa Madereva wenye sifa katika soko la ajira bado ni Changamoto 16 Jul 2013 | 10:53 pm

Licha ya Sekretarieti ya Ajira kuendesha mchakato wa Ajira kwa kada mbalimbali katika Utumishi wa Umma bado imeonekana kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa madereva wenye sifa stahili katika soko l...

Katibu Mkuu Kiongozi kutembelea Sekretarieti ya Ajira leo 16 Jul 2013 | 07:56 pm

Katibu Mkuu Kiongozi Ofisi ya Rais, (IKULU) Balozi Ombeni Sefue anatarajia kutembelelea Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa ziara ya kikaz...

Taarifa kwa Vyombo Vya Habari 13 Jul 2013 | 03:51 am

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO, TAREHE 8-07-2013 8 Jul 2013 | 11:33 pm

Usaili wa ana kwa ana kwa waliochaguliwa utafanyika siku ya Jumanne tarehe 9-Julai, 2013 saa moja nasu asubuhi, Sehemu ni kama inavyoonekana hapa chini LIVESTOCK OFFICER II Watafanyia KIBAHA EDUCATIO...

Recently parsed news:

Recent searches: