Blogspot - fredynjeje.blogspot.com - Fredy Njeje Blog

Latest News:

Happy Birthday Esi ! 6 Aug 2013 | 11:22 pm

Kila mtu anapenda kutakiwa Heri ya siku yake ya Kuzaliwa .. kwa sababu ni moja ya matukio Muhimu katika Jamiii..  Hii inayo tuzunguka.. Neno.. Hongera ni muhimu sana.. Nachukua nami ka nafasi haka ka...

Happy Birthday Regina. 6 Aug 2013 | 11:05 pm

Ni muhimu kukumbuka siku ya kuzaliwa kwa maana ndio unayo ifahamu na unayo iona kila siku za mwaka na siku hiyo inapofika, lakini ni Ngumu sana kukumbuka siku ya kufa kwa sababu wewe hautaijua wala ku...

BLOGGER OF THE DAY DADAA WILLIAM 3 Aug 2013 | 10:08 am

Kila mtu anaweza akawa anamiliki mtandao wake wa kijamii hasa Blogs..... lakini katika hizo mamia za blogs zilizopo hapa Nchini wengi tumekuwa sio wabunifu... Kwa nini labda sio wabunifu?.... Hii ni ...

Happy Birthday to Me 29 Jul 2013 | 11:23 am

Leo ni siku ya kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Fredy Anthony  Head of Group Research and Product  Development wa Tone Multimedia Group  ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu pamoja mitandao Mengin...

Mvumilie mpenzi wako huku ukimfundisha 25 Jul 2013 | 03:32 pm

KAMA ilivyo ada tumekutana tena kwenye kona ya Mapenzi na Uhusiano ili kujuzana mawili matatu. Leo tupo kwenye chungu cha kumi Ramadhani, napenda kuwatakia wafungaji wote Ramadhani Kareem. Kabla ya...

HADITHI : HAIKUWA BAHATI YANGU SEHEMU YA KWANZA 15 Jul 2013 | 02:50 pm

 Hiki ni kisa ambacho kinamuhusu kijana mmoja ambaye alikuwa na ndoto za mbele na kutimiza malengo yake , lakini ni nini kilimtokea na ilikuwaje kuwaje ungana nami hapa. Naomba Radhi kwa baadhi ya se...

HAKIKISHA HUYAFANYI MAKOSA HAYA SABA KWA UNAYE MPENDA KWEA DHATI 8 Jul 2013 | 07:10 pm

KUNA mambo unapaswa kuyaweka mbali sana. Hakikisha hayaingii kwenye mapenzi yako. Kuyafanya, maana yake unakuwa unauchimbia kaburi uhusiano wako mwenyewe. Tunapenda kuongozwa na fikra zetu. Kila mmoja...

HONGERA SANA FARIDA 8 Jul 2013 | 06:31 pm

 Farida akiwa katika pozi wakati wa Sherehe Farida Akiwa na Mwenzake Hapa ilikuwa ni mwendo wa Kusaini kitabu cha Ndoa ******* Hongera sana Farida kwa kufunga ndoa yako, Mungu akubariki muishi m.....

Hongera Sana Gema na Anthony David Mtavangu 8 Jul 2013 | 03:55 pm

 Harusi:Ndugu Antony David Mtavangu na Gema Nicholaus Temba wakila kiapo cha kuishi pamoja katika kanisa la Mtakatifu Peter ,siku ya Jumamosi tarehe 6 Julai 2013. Antony na mkewe Gema wakiwa wamepen....

Recently parsed news:

Recent searches: