Blogspot - freebongo.blogspot.com - MPEKUZI

Latest News:

MADIWANI WALIOTIMULIWA BUKOBA WARUDSHWA 27 Aug 2013 | 09:47 pm

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama na Halmashauri Kuu y...

EAC YAINGILIA KATI MZOZO WA TANZANIA NA RWANDA 27 Aug 2013 | 12:22 pm

Wakati Tanzania ikisema kuwa iko tayari kukaa meza moja na jirani yake Rwanda kumaliza hali ya uhasama iliyoanza kujitokeza katika siku za hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afri...

SERIKALI YARUHUSU TENA MIHADHARA YA DINI ILIYOKUWA IMEPIGWA MARUFUKU. 27 Aug 2013 | 12:10 pm

MIHADHARA ya dini iliyokuwa imepigwa marufuku na Serikali imeruhusiwa kuendelea kwa masharti ya kutojihusisha na mahubiri yanayolenga kupandikiza chuki miongoni mwa Wakristo na Waislamu. Serikali pia ...

JESHI LA POLISI LAMWAGA AJIRA..... 27 Aug 2013 | 12:09 pm

JESHI la Polisi nchini, limetangaza ajira mpya kwa vijana waliohitimu kidato cha nne na sita mwaka jana. Taarifa za jeshi hilo, ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa jeshi hilo, zinasema vijana katika mi...

WAKENYA WAWILI WAKUBALIANA KUMUOA MWANAMKE MMOJA 27 Aug 2013 | 11:55 am

Wanaume wawili nchini Kenya wameibuka na mbinu isiyo ya kawaida ya kupata suluhu ya kupigania mwanamke ambaye wote wanampenda kwa  kusaini mkataba wakikubaliana kuishi nae kwa zamu. Silvester Mwen...

DADA YAKE MBOWE AIKIMBIA CHADEMA NA KUJIUNGA CCM.....ADAI CHADEMA HAINA JIPYA 27 Aug 2013 | 11:43 am

DADA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Mbowe, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) akitokea Chadema, kwa kile alichodai haoni jambo jipya katika chama hicho.Grace ...

BINTI APEWA KICHAPO JIJINI ARUSHA BAADA YA KUKATISHA MITAA AKIWA NUSU UCHI... 27 Aug 2013 | 07:39 am

Msichana mmoja ambaye jina lake halikujulika amejikukuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na   kuchapwa viboko na kundi la watu katika eneo la soko la nmc jiji arusha kwa madai ya kuvaa nguo fupi...

WEMA SEPETU ADAIWA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA 26 Aug 2013 | 02:36 pm

Skendo ya mastaa mbalimbali Bongo kutajwa katika biashara na usafirishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ linazidi kuchukua sura mpya ambapo tayari majina ya wasanii wawili wakubwa, Wema Isaac Sepetu na N...

MTOTO WA MIAKA 8 AOLEWA NA MWANAUME WA MIAKA 38...POLISI WAINGILIA KATI. 26 Aug 2013 | 12:28 pm

Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Samson (38), mkazi wa Kijiji cha Mindukeni, Tarafa ya Tarawanda katika Wilaya ya Bagamoyo, Pwani amefanya maajabu ya milenia baada ya kudaiwa kuoa mtoto mwenye umr...

DILLISH TOKA NAMIBIA AIBUKA MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2013 26 Aug 2013 | 05:38 am

Fainali za Big Brother zimefikia  tamati  usiku  huu  zikiwa  na  washiriki  watano  ambao  ni  Beverly, Melvin, Cleo, Elikem  na  Dillish. Mshiriki  wa  kwanza  kutolewa  alikuwa  ni  Beverly  aki.....

Recently parsed news:

Recent searches: