Blogspot - michuzi-matukio.blogspot.com - MATUKIO-MICHUZI

Latest News:

Katibu Mkuu na Naibu wake wapokewa kwa Shangwe Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo 27 Aug 2013 | 06:48 pm

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga mwenye nguo nyekundu akipokea zawadi ya maua kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Wizara hiyo Bibi Mwanakombo Jumaa katika ha...

NSSF YAWAAGA WAJUMBE WA BODI NA KUWAKARISH​A WAPYA 27 Aug 2013 | 01:39 pm

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Wajumbe wa Bodi iliyomaliza muda wake na kuikaribisha bodi mpya katika Hoteli ...

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO AKAGUA MAENDELEO YA UTANDAZAJI MABOMBA YA GESI MTWARA-DAR 27 Aug 2013 | 03:34 am

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa na Balozi wa China nchini, Lu Youqing walipokuwa wakikagua mitambo ya kisasa ya kuunganisha mabomba ya kusafirishia gesi, katika ka...

REDD'S MISS ILALA ATOA MSAADA WA VITABU VYA SH. 300,000 SHULE YA MSINGI GULUKA KWALALA,UKONGA,DAR 27 Aug 2013 | 03:24 am

Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Doris Mollel amkimkabidhi  vitabu mwanafunzi Charles Costantino ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya Shule ya Msingi Guluka Kwalala, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam...

BARAZA LA KATIBA LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA LAFUNGULIWA RASMI 27 Aug 2013 | 02:31 am

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Mgeni Rasmi ambaye pia ni Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim kabla ya u...

Membe alonga na Warioba kuhusu Uraia wa Nchi Mbili 27 Aug 2013 | 02:30 am

Mhe. Waziri Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiingia rasmi katika Ofisi za Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo mjini Dar es Salaam.   Kulia ni Mhe. Balozi Rajabu...

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWATAKA WAFANYA KAZI KATIKA MAHOTELI KUSAIDIA KUWAFICHUA WAHALIFU 26 Aug 2013 | 01:11 pm

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik amewataka wafanyakazi katika mahoteli kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama iwapo wataona kuna mteja wao wanayemhisi kuwa ni muhalifu kwa kutoa taarif...

WANANCHI WA WILAYA YA BAGAMOYO MKOANI PWANI WATOA MAONI KUHUSU RASIIMU YA KATIBA MPYA 26 Aug 2013 | 12:51 pm

 Mratibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bi. Hidaya Mohammed akiongea katika mkutano wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo  mwishoni mwa juma. Wengine kulia ni Wajumbe wa Tume hiyo ...

Evans Bukuku comedy club kesho @ East 24 Grill 26 Aug 2013 | 12:31 pm

It's going down KESHO at East 24 Bar & Grill, Mikocheni, Dar es salaam (Formerly the Arcade. .. near KFC!! ) Featuring The Nigerian Pastor. . . and so many our finest home-baked Tanzanian Standup Come...

Recently parsed news:

Recent searches: