Bongo5 - bongo5.com - Bongo5.com

Latest News:

Poll: Ni muigizaji gani wa kike wa filamu kati ya hawa anayevutia zaidi Tanzania? (Picha) 27 Aug 2013 | 06:01 pm

Kiwanda cha filamu Tanzania kimezalisha waigizaji wengi wenye majina makubwa sasa. Miongoni mwao, ni wasichana hawa ambao tungependa wewe utuambie ni yupi mwenye mvuto zaidi. Irene Uwoya Filamu alizoc...

Wakazi ainogesha video ya ‘Tayari kwa Yote’ na clips za filamu ya ‘Baby Powder’ 27 Aug 2013 | 02:21 pm

Si mara nyingi kuona video ya muziki ya msanii wa Tanzania yenye vipande kutoka kwenye filamu za Bongo lakini rapper Wakazi amejiongeza kwenye video yake mpya, Tayari kwa Yote iliyofanyika, Chicago nc...

Picha: Mtoto wa miaka 14 mwenye sura kama mzee wa miaka 110 26 Aug 2013 | 07:27 pm

Ali Hussain ni mtoto mwenye miaka 14 lakini anaonekana kama mzee wa miaka 110 kwasababu ya tatizo nadra sana duniani linalomfanya akue haraka kuliko kawaida. Ali ameshuhudia ndugu zake watano wakipote...

BBA Updates: Dillish azipeleka $ 300,000 Namibia baada ya kuibuka kinara wa ‘The Chase’ 26 Aug 2013 | 09:10 am

Baada ya zile siku 91 zilizowaunganisha na kuwapa burudani waafrica kupitia ‘The Chase’ hatimaye jana (August 25) chujio la Big Brother kupitia kura za watazamaji limethibitisha nguvu ya wanawake kati...

Picha: Wakazi wa Singida wakiisubiria kwa hamu Fiesta 2013 leo Singida Motel 25 Aug 2013 | 06:04 pm

Wakazi wa Singida wamepokea kwa mikono miwili shangwe za Serengeti Fiesta 2013 zinazotarajia kufanyika leo kwenye ukumbi wa Singida Motel. Ndani ya Singida Motel wakazi wa Singida wakikata tiketi kwaj...

Burudani Kitaa: Inspector Haroun apata shavu la kuwa balozi wa TEHAMA, Mwasiti aizungumzia Tokomeza Zero Project na habari nyingine za burudani kutoka... 24 Aug 2013 | 05:47 pm

Inspector Haroun amefunguka kuhusiana na shavu alilopata la kuwa balozi wa TEHAMA kupitia ile segment ya Burudani Kitaa inayoandaliwa na Michael Lukindo mtangazaji wa East Africa Radio na kurushwa onl...

Exclusive Photos: Screeshots za video mpya ya Diamond ‘Number 1′ 24 Aug 2013 | 01:08 pm

Diamond anatarajia kutengeneza tena vichwa vya habari pale atakapoachia video ya wimbo mpya ‘Number 1′ aliyoshoot mwezi huu nchini Afrika Kusini. Video hiyo ambayo Diamond anasemekana kutumia zaidi ya...

MMC: Top 20 ya Marimba Music Chart wiki hii (22nd August 2013) 22 Aug 2013 | 04:06 pm

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII Ingia HAPA kupata chart ya Marimba ya wiki iliyopita (15th August 2013) Marimba Music Chart huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na...

Uigizaji wamzuia Aunt Ezekiel kukaa na mumewe Dubai 19 Aug 2013 | 08:11 pm

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel amesema kilichomfanya ashindwe kukaa Dubai na mume wake ni kazi ya uigizaji ambayo anaitegemea na hataki ipotee maishani mwake. Akiongea na Bongo5 leo, Aunt am...

News of Rwanda waandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega, Burundi 18 Aug 2013 | 04:38 pm

Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too’ na kuandika kile linachodai kuwa Rais...

Recently parsed news:

Recent searches: