Fikrapevu - fikrapevu.com - Fikra Pevu | Kisima cha busara!

Latest News:

‘Malkia wa Nyuki’ wa Simba ateuliwa kuwa Balozi Oman 27 Aug 2013 | 12:33 pm

SULTAN wa Oman, Qaboos bin Said Al Said, amekubali uteuzi wa Rahma Abdulrahman Al Kharoosi (Malkia wa Nyuki) kuwa Balozi wa heshima wa Jamhuri ya Comoro nchini mwake, imefahamika. Katika waraka wake ...

Wanaume: Baadhi ya sababu ambazo huwafanya wengi waogope kuingia kwenye ndoa 23 Aug 2013 | 02:29 pm

Vijana wengi wa kiume hujikuta katika wakati mgumu kuchukua maamuzi ya kuishi na mwanamke japo yawezekana wakawa wanatamani kufanya hivyo kwa muda mrefu kutokana na vikinza vingi, vingine vikiwa ni vy...

Ziwa Rukwa kugeuka bwawa mwaka 2023 22 Aug 2013 | 11:53 pm

Utafiti umebaini ziwa Rukwa upande wa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya linandelea kusinyaa kwa kasi kila mwaka kutokana na uharibifu mkubwa wa mazingira unaotokana na shughuli za kibinadamu wilayani humo...

Watanzania zaidi ya 100 wako gerezani nchini China kuhusiana na dawa za kulevya, 20 ni wanawake! 22 Aug 2013 | 11:24 pm

Kama kuna jambo ambalo linaichafua Tanzania katika jukwaa la kimataifa kwa siku hizi, basi ni tatizo la usafirishaji wa dawa za kulevya. Zamani tatizo hili halikuwa kubwa sana, ni mtanzania mmoja mmo...

Watanzania wanateseka na Dawa za kulevya Afrika Kusini 16 Aug 2013 | 01:19 am

Idadi ya vijana wanaoingia nchini Afrika Kusini kutokea Tanzania kinyume cha sheria kwa malengo ya kutafuta maisha bora imesababisha wengi wao kujiingiza katika biashara ya dawa za kulevya baada ya ku...

Sheikh Ponda asomewa mashtaka hospitalini Muhimbili! 15 Aug 2013 | 12:22 am

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (54), Leo jioni amesomewa shitaka la kuhamasisha wafuasi wake kufanya kosa huku akiwa katika chumba cha Wagonjwa kwenye kiteng...

Kinachosemwa, na Ukweli kuhusu Sera ya Mtoto Mmoja nchini China 13 Aug 2013 | 02:34 pm

Sera ya uzazi wa mpango ya China, maarufu kama sera ya mtoto mmoja, ni sera inayofahamika sana duniani kwanza kutokana na ufanisi wake katika kudhibiti ongezeko la idadi ya watu, na pili kutokana na k...

Ziwa Rukwa kufungwa kwa miezi sita 11 Aug 2013 | 01:14 pm

Ziwa Rukwa upande wa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya linatarajiwa kila mwaka kufungwa kwa miezi sita kwa lengo la kutoa fursa kwa samaki kuzaliana na kukua. Katibu tawala wa wilaya hiyo akizungumza kwa...

Sumaye alia na Vigogo wanaotuma Vijana ‘Unga’ 11 Aug 2013 | 02:06 am

WAZIRI Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye amekemea tabia ya wanasiasa kuwashirikisha vijana katika rushwa na biashara ya dawa za kulevya maarufu kama unga, akitaka waumbuliwe. Amemewataka wanasiasa hao kua...

Madini yenye thamani (Blue Copper) yagundulika Tunduru! 8 Aug 2013 | 01:31 am

MADINI yenye thamani kubwa aina ya shaba ya bluu(blue copper)yamegundulika katika kata ya Mbesa tarafa ya Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Kugundulika kwa madini hayo kunaifanya wilaya ya Tundu...

Recently parsed news:

Recent searches: