Fullshangweblog - fullshangweblog.com - FULL SHANGWE

Latest News:

TAMASHA LA DINI "LOVE TANZANIA" LILIVYOTIA FORA VIWANJA VYA JANGWANI JIJI DAR. 12 Aug 2012 | 06:39 pm

Pichani Juu na Chini ni Umati wa Watanzania uliofurika kwenye Tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA linaloendelea katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam likiongozwa na Askofu Andr...

MBUNIFU WA MAVAZI ALLY REHMTULLAH MITINDO MIPYA YA MAVAZI MWEZI UJAO 11 Aug 2012 | 10:05 pm

Na Mwandishi Wetu. Mwanamitindo maarufu nchini Ally Rehmtullah ameandaa onyesho kubwa na la kipekee la mitindo hapa nchini litakalofanyika tarehe 8 Mwezi ujao katika jiji la Dar es Salaam na kuonyesh...

Kindoile ajitosa uongozi KRFA 11 Aug 2012 | 09:32 pm

MDAU wa michezo na aliewahi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Villa Squad Fc ya Magomeni jijini Dar es Salaam, Ally Kindoile amejitosa kuwania nafasi ya Katibu Msaidizi wa Chama cha Soka Mkoa wa Ki...

GLOBAL PUBLISHERS YAZINDUA SHINDANO LA ‘SHINDA NOAH’ 10 Aug 2012 | 08:07 pm

Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kushoto) akizungumza katika mkutano huo. Kulia kwake ni Ofisa Tarafa wa Magomeni, Flugence Isakefu, Mhariri Mtendaji wa Global, Richard Manyota na Mratibu...

NGORONGORO HEROES YAWASILI NCHINI NIGERIA 10 Aug 2012 | 07:47 pm

Ngorongoro Heroes, timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 imewasili asubuhi hii (Agosti 10 mwaka huu) kwa ndege ya Overland Airways kwenye mji wa Ilorin, Jimbo la Kwara lililo Kusini mwa...

Kumbukumbu ya Isack Alfred Mfinanga! 9 Aug 2012 | 06:20 pm

Ni mwaka mmoja sasa (11.08.2011- 11.08.2012) tangu Baba yetu Mpendwa Isack Alfred Mfinanga ututoke tarehe 11 August 2011, unakumbukwa sana na watoto wako Prince, Evelyne na AMMY, Mkeo Karen, Mama yak...

Wahanga wa bomoabomoa ya Gerezani watahadharishwa 9 Aug 2012 | 06:00 pm

Na Mwandishi Wetu WANANCHI na wahanga wa bomoabomoa kwa wakzi wa nyumba za kota za eneo la Gerezani, Kariakoo, Dar es Salaam, wametahadharishwa kuacha kuchukua hatua yoyote kutokana na suala lao kuwa...

SERIKALI KUFIDIA MIFUGO MASWA - MH. NYALANDU 8 Aug 2012 | 03:58 pm

Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Meatu alipotembelea pori la akiba la Maswa.Nyuma yake ni mbunge wa jimbo la Kisesa mkoa wa Simiyu. Mkuu wa...

RAIS KIKWETE AWASILI JIJINI KAMAPALA, UGANDA LEO 7 Aug 2012 | 10:01 pm

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe,Uganda tayari kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika ...

BORIS BUNJAK KUTOKA SERBIA NDIYE KOCHA MKUU WA AZAM FC KWA MIAKA MIWILI 7 Aug 2012 | 09:54 pm

Boris Bunjak kocha mkuu mpya wa timu ya Azam FC akiipia picha wakati alipotambulishwa rasmi na uongozi wa timu hiyo leo jijini Dar es salaam, Boris Bunjak raia wa Serbia aliyezaliwa mwaka 1954 amesain...

Recently parsed news:

Recent searches: