Jewajua - jewajua.com - Je wajua

Latest News:

Mahakama Yawatia Hatiani Wakurugenzi Wanne wa DECI na Mmoja Aachiwa Huru 20 Aug 2013 | 10:17 am

Mahakama ya kisutu jana ilirule out kesi na kuwatia hatiani wakurugenzi wanne kati ya watano wa kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) kwa kuwaadhibu kifungo cha miaka...

Mwanamuziki Lady Gaga Atumbuiza Akiwa Uchi 14 Aug 2013 | 11:53 pm

Mwanamuziki Lady Gaga wa Marekani bila kuogopa umati mkubwa kwamba utamuumiza au kumchafua akijimwaga waziwazi akiwa amejivalia nguo zake za chekecheke na zenye kuonyesha waziwazi uchi wake. Wanamuzik...

Professor Sospeter Muhongo CV 13 Aug 2013 | 05:13 am

Professor Sospeter Muhongo was born in Musoma town, Tanzania on 25.06.1954. He is married to Bertha, has a son Rukonge, and is guardian to three orphans. Editor-in-chief of the Journal of African Eart...

Je Unawajua Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD? 10 Aug 2013 | 03:41 am

Tujikumbushe watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD kati ya miaka ya 70s, 80s na 90s waliovuma katika Idhaa zetu za Kiswahili na Kiingereza kupitia Radio Tanzania Dar es salaam (RTD). Wakati huo ...

Opra Abaguliwa Uswiss Kwa Sababu ya Rangi 10 Aug 2013 | 01:23 am

Bila kujali ubilionea wake, muuza duka moja la nguo za kifahari kule Zurich, Uswiss amemfanyia ubaguzi wa rangi Opra Winifrey alipotaka akinunua pochi moja nyeusi na ya kifahari huko Uswiss. Muuza duk...

Majanga Makuu Tanzania Mauaji, Mabomu, Tindikali, Wizi 9 Aug 2013 | 04:34 pm

Tanzania kimenuka, sasa kila kukicha kuna uhalifu wa aidha ujambazi, ubakaji, wizi, mabomu, risasi, tindikali, kesi za kusingizia, migigoro ya Ardhi, mizozo ya nchi jirani na kadhalika. Hii imeendelea...

Makada Chadema Walilazimishwa Wawasingizie Ugaidi Mbowe, Slaa 9 Aug 2013 | 03:00 pm

HATIMAYE makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaokabiliwa na shtaka la kummwagia tindikali kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mfa...

Ripoti ya Mauji Arusha Juni 2013 Yavuja 6 Aug 2013 | 03:00 am

IGP Mwema, RPC Andengenye watiwa hatiani na Josephat Isango HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Ja...

KITUO CHA LHRC KUMFIKISHA WAZIR MKUU PINDA MAHAKAMANI 4 Aug 2013 | 07:22 pm

Kuhusu kumshtaki PM ni kweli draft petition chini ya BRADEA iko tayari kwa kwenda mahakamani by alhamis Mungu akipenda. Tutaitisha press conference. Hata hivyo tunapambana na kisiki kimoja cha kisheri...

Untitled 4 Aug 2013 | 07:10 pm

Google wamesha intergrate teknoljia ya Googlemap na GPS kwenye uendeshaji wa magari. Magari maalum yenye kutumia smart card zilizo ingiziwa program maalum ya kuongoza magari yenye kutumia Google map, ...

Recently parsed news:

Recent searches: