Tanzaniasports - tanzaniasports.com - Tanzania Sports

Latest News:

MAANDALIZI MKUTANO WA UCHAGUZI TFF 27 Aug 2013 | 04:49 pm

Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 26 na 27 mwaka huu jijini Dar es Salaam. * * Awali mkutano ...

Manchester City hoi kwa Cardiff 26 Aug 2013 | 01:35 am

*Spurs waponea tena kwa tuta Klabu iliyopanda daraja msimu huu ya Cardiff City imewaduwaza Manchester City kwa kuwagawia kichapo. Wakicheza mbele ya mashabiki wao, Cardiff wanaofundishwa na Malky Ma...

Arsenal, Liverpool watakata 25 Aug 2013 | 12:57 am

*Stoke, Hull wang’ara, wengine sare Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya England umekuwa wa kicheko kwa Arsenal walioanza vibaya awali, ambapo Jumamosi hii wamewakung’uta Fulham 3-1. Wakicheza ugenini...

USAJILI WA WACHEZAJI 37 WAKWAMA VPL 24 Aug 2013 | 12:58 pm

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezuia usajili wa wachezaji 37 wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kutokana na usajili wao kuwa na kasoro. Kla...

MAJINA YA WAOMBAJI UONGOZI TFF, TPL BOARD YAWEKWA WAZI 23 Aug 2013 | 06:02 pm

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imebandika rasmi kwenye ubao wa matangazo majina ya waombaji uongozi kwenye uchaguzi wa TFF na Bodi ya Ligi Kuu (TPL Board) ili kutoa ...

VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI 23 Aug 2013 | 02:28 pm

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi kesho (Agosti 24 mwaka huu) katika viwanja saba tofauti huku mabingwa watetezi Yanga wakianza kutetea ubingwa wao kwa kui...

SPORTS AND ENVIRONMENT WAYS TOWARDS ACHIEVING THE SUSTAINABILITY DEVELOPMENT OF SPORTS 22 Aug 2013 | 10:58 pm

Today in many countries sports and environment is understood as a highly important subject . Scientists deal with this issue as well as authorities, sports associations and conversation groups. S...

Arsenal watuliza mzuka Uturuki 22 Aug 2013 | 02:27 am

*Wawatandika Fenerbahce 3-0 *Chelsea waipiga Vila kwa tabu Baada ya kuteswa kwenye mechi ya kwanza ya Ligi Kuu England, Arsenal wameipoteza klabu ngumu ya Fenerbahce nyumbani kwao Uturuki. Katika m...

24 WAITWA TAIFA STARS KUIVAA GAMBIA 20 Aug 2013 | 03:49 pm

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameita kambini wachezaji 24 kujiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa Septemba 7 mwaka huu nchini humo. Wachezaji hao wanata...

Chelsea wamtumie nani kupachika mabao? 20 Aug 2013 | 01:42 pm

Kila msimu wa kiangazi Chelsea husaka wapachika mabao hawajabaki nyuma msimu huu katika kiu yao hiyo. Hata majuzi Kocha Jose Mourinho alithibitisha kwamba wanataka kuongeza mchezaji mmoja hapo Stamfo...

Related Keywords:

tanzania association, tanzania sports, pinda sport, michezo tanzania, akhwari "heroes", tanzania football federation, kadel keita, vijana basketball, tanzania sport, wydad casablanca vs simba

Recently parsed news:

Recent searches: